kifo chake kimetoa mianya kwa viongozi wa tanzania kuitumia nchi kwa manufaa yao na si kama ambavyo yeye alikuwa anaifanyia Tanzania. naumizwa na kuondoka kwake, angekuwapo labda yasingetokea yanayojiri tanzania kwa sasa, uchu wa madaraka unaiua Tanzania yake, yako na yangu.
No comments:
Post a Comment