Ni jumamosi hii ndani ya ukumbi wa Litingi La Sindimba ndani ya mtwara, ambapo wanachuo wote wa mtwara watakutana kua bata, wakisindikizwa na Juma Nature "kibla", Dulayo mzee wa mida ya kwenda kazini na KR Murah!!
siyo ya kukosa kwako wewe denti wa chuo.
No comments:
Post a Comment