Wednesday, November 16, 2011

MBINU MPYA YA KUTOA RUSHWA KWA TRAFIKI

Najua utakuwa unajiuliza hiki ni kitu gani!!!??? hicho ni kifurushi ambacho ndani yake kuna chupa mbili za maji safi ya kunywa, gazeti na pesa ambayo ilikuwa inapelekwa kwa askari wa usalama barabarani, na mmoja wa madereva wa daladala wa manispaa ya Mtwara mikindani.

Ni nouummaaa!!!!! Lakini tujiulize kwa nini alitoa rushwa na wananchi hatukuwa na la kusema!!!??? Inadhihirisha ni jinsi gani nchi yetu tunavyokubali maradhi na mwisho wa siku, "WE ARE THE VICTIMS"

                                               NI MTAZAMO TU!!!

No comments:

Post a Comment